HABARI ZOTE

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE WILAYA YA KIBAHA YAFANA • Yafanyika katika Shule yaSekondari ya Wasichana Kibaha Tarehe: 11/10/2018 Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Kike Wilaya ya Kibaha yamefanyika leo katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaha

The News Image

Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Kike Wilaya ya Kibaha yamefanyika leo katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaha. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Assumpta Mshama ambaye aliwakilishwa na Katibu Tawala... Soma Zaidi →